Kuhusu sisi

Melbet ni kampuni ya kuweka madau inayokua kwa kasi ambayo inatoa fursa za kipekee kwa washirika na mashabiki wa michezo. Kwa kutumia kiolesura kinachofaa kwa mtumiaji, urambazaji wa kisasa, matumaini ya juu na uteuzi mpana wa masoko ya michezo ya kuweka madau katika michezo mbalimbali, Melbet inakidhi mahitaji ya waweka madau hata wale wenye shauku. Aidha, Melbet inatoa programu ya kina ya ushirika yenye faida nyingi, ikiwemo viwango vya kuvutia vya unasaji wateja, kamisheni nzuri na machaguo mbalimbali ya malipo ili kuendana na mapendeleo yako.

Historia ya Melbet

Kampuni ilianza safari yake mwaka 2012, ikijiimarisha kama chombo chenye sifa katika tasnia hiyo. Ikifanya kazi chini ya Leseni ya Egaming CuraƧao Na. 8048/JAZ2020-060, kampuni hii inalenga kutoa huduma salama na ya uwazi ya michezo ya kompyuta. Mnamo Aprili 2016, Melbet kwa kujivunia ilianzisha programu yake ya ushirika, ikikaribisha washirika wapya kwa mgao wa kawaida wa mapato unaovutia wa 25%. Kadiri kampuni ilivyofanikiwa, ndivyo ilivyokuwa kwa washirika wake, na leo, washirika hawa wenye thamani wana fursa nzuri ya kupata mgao wa mapato wa hadi 65%! Ukuaji huu wa ajabu na mafanikio haya ni ushahidi wa ahadi ya Melbet kujenga ushirikiano thabiti na wenye manufaa kwa pande zote

Maadili na dhima ya Melbet

Hapa katika Melbet, tunaweka kipaumbele kikubwa katika kutoa mazingira salama kwa kila mtu anayehusika. Tuna sera kali ya kucheza michezo ya kubahatisha kistaarabu, usalama wa data na usaidizi kwa wateja. Tunajitahidi kuhakikisha uwekaji wa madau na michezo ya kubahatisha kwenye tovuti yetu ni jambo rahisi, na salama salmini.

Tunathamini uwazi na tunaupa kipaumbele uvumbuzi ili kuboresha uzoefu wa wateja. Pia tunawajali washirika wetu kwa kutoa viwango vya kuvutia vya unasaji wateja, kamisheni nzuri, nyenzo za promosheni zinazoboreshwa mara kwa mara na huduma rahisi ya kutoa pesa. Programu yetu ya ushirika inahamaisha ushirikiano na inatoa kamisheni ya kudumu kwa kila mshirika. Jiunge nasi kwenye Melbet kwa masharti mazuri na ushirikiano wa wenye manufaa.

Timu yetu

Tumekusanya kundi la wataalamu ambao watakuunga mkono kila hatua ya safari yako, wakiwemo watu wa masoko wenye uzoefu, wabunifu wenye vipaji, waandishi wabunifu na wahudumu wenye ufanisi. Kupitia usaidizi kwa wateja saa 24 siku 7 za wiki, unaweza kututegemea tukusaidie wakati wowote unapohitaji msaada. Timu yetu inafanya kazi bila kuchoka kuhakikisha unapata faida kubwa kabisa katika biashara yako.

Mhudumu mahsusi atakuwepo tayari kukupa usaidizi binafsi na kujibu maswali au wasiwasi wowote unaoweza kuwa nao. Aidha, timu yetu inatoa ushauri muhimu kuhusu mikakati ya masoko ili kuboresha utendaji wako na kufikia malengo yako.

Tovuti yetu inakupa ufikio wa kipekee wa mkusanyiko anuwai wa nyenzo za promosheni zinazoboreshwa mara kwa mara. Aidha, utanufaika na dashibodi kamili ambayo inafanya iwe rahisi kufuatilia wateja, kutengeneza ripoti na kuchanganua data muhimu. Hii itafanya uwe mstari wa mbele katika sekta yako. Kuwa na uhakika, timu yetu inazingatia mafanikio yako na itafanya kila linalowezekana kukusaidia kufikia malengo yako.

Mafanikio yetu

Tunafurahi kutangaza kwamba Melbet imepokea tuzo mashuhuri ya EVENTUS ya Mwendeshaji Bora wa Michezo ya Kubahatisha Mtandaoni wa mwaka 2023. Tuzo hii ni ushahidi wa ukuaji wetu endelevu, maendeleo na ahadi yetu ya kutoa uzoefu wa ubora wa hali ya juu kwa watumiaji. Inatambua mafanikio yetu ya jumla ya kibiashara, mawazo ya kivumbuzi na dhamira ya ubora. Vigezo vya tathmini vilijumuisha kupenya katika soko, mikakati ya upanuzi, kujitofautisha, ubora wa chapa na gharama. Mafanikio haya yanaimarisha nafasi yetu ya kuongoza na yanaonesha kiwango cha kipekee cha huduma zetu katika sekta ya michezo ya kubahatisha mtandaoni.