honeycombshoneycombshoneycombshoneycombshoneycombshoneycombshoneycombshoneycombshoneycombshoneycombs
Sera ya Vidakuzi

COOKIES

TAARIFA ILIYOHIFADHIWA KWENYE KIFAA CHAKO

Unapotumia huduma zetu, kwa ridhaa yako tunaweza kuhifadhi taarifa kwenye kifaa chako.Taarifa hii inarejelewa kama 'vidakuzi', ambavyo ni mafaili madogo ya maandishi yenye herufi na tarakimu kwa ajili ya kurekodi mapendeleo yako. Vidakuzi vinahifadhiwa kwenye kifaa chako unapotumia huduma zetu wakati wa kutembelea tovuti na kurasa zetu za mtandaoni.

Pia tunatumia vitu vya ndani vinavyoshirikiwa au 'vidakuzi vya flash'. 'Vidakuzi vya flash' vinafanana na vidakuzi vya kivinjari. Vinatuwezesha kukumbuka utembeleaji wako kwenye tovuti zetu.

Si vidakuzi wala vidakuzi vya flash vinaweza kutumika kukifikia kifaa chako au kutumia taarifa kwenye kompyuta yako.

Tunatumia tu vidakuzi na 'vidakuzi vya flash' kwa ufuatiliaji.

Tunatumia tu mbinu hizi ili kufuatilia utumiaji wako wa huduma zetu kwa kurekodi mapendeleo yako.

Vidakuzi vinatusaidia kufuatilia watembeleaji kwenye tovuti yetu, kuboresha huduma zetu, kufanya iwe rahisi kwako kuzifikia na kuongeza uvutiwaji wako katika huduma hizi.

Tunatumia vidakuzi vya flash na vidakuzi vingine ili kutusaidia kukuonesha wewe matangazo yenye maana na yanayokuhusu zaidi.

VIDAKUZI VYENYE UMUHIMU KABISA

Vidakuzi vyenye umuhimu kabisa vinatumika kuwawezesha watumiaji kuvinjari tovuti na kutumia vipengele vyake, kama vile kufikia sehemu salama za tovuti au kuchakata miamala ya kifedha. Bila vidakuzi hivi, haungeweza kutumia tovuti zetu kwa ufanisi.

MCHAKATO WA USAJILI

Vidakuzi hivi vitahifadhi taarifa zilizokusanywa wakati wa usajili na vitatuwezesha kukutambua kama mteja na kukupatia huduma unazohitaji. Pia tunaweza kutumia taarifa hizi ili kuelewa vyema maslahi na mapendeleo yako mtandaoni na kuboresha mara kwa mara unapotembelea kwenye jukwaa zetu na matumizi ya huduma zetu.

TOVUTI YETU

Tunatumia vidakuzi ili kukusanya taarifa kwa watembeleaji wa tovuti yetu.

Seva zetu zinatumia aina tatu tofauti za vidakuzi.

  • Vidakuzi vya "kipindi husika": Aina hii ya kidakuzi huwekwa kwenye kompyuta yako kwa muda wote wa utembeleaji wako kwenye tovuti yetu pekee. Kidakuzi cha kipindi husika kinakusaidia kuperuzi tovuti yetu kwa haraka na, kama wewe ni mteja uliyesajiliwa, kinatuwezesha kukupatia taarifa yenye maana zaidi kwako. Kidakuzi hiki kinaisha muda wake kiotomatiki unapofunga kivinjari chako.
  • Vidakuzi "Vinavyodumu": Aina hii ya kidakuzi itadumu kwenye kompyuta yako kwa kipindi mahususi cha muda, kwa kila kidakuzi. Vidakuzi vya flash pia hudumu.
  • Vidakuzi "vichambuzi": Aina hii ya kidakuzi inatuwezesha kutambua na kuhesabu idadi ya watembeleaji kwenye tovuti yetu na kuona jinsi watembeleaji wanavyotumia huduma zetu. Hii hutusaidia kuboresha jinsi tovuti zetu zinavyofanya kazi, kwa mfano, kwa kuhakikisha unaweza kuingia na kupata unachotafuta kwa urahisi.

Wewe ndiye mwamuzi na daima una chaguo la kukubali au kukataa vidakuzi.

Vivinjari vingi vinakubali vidakuzi kiotomatiki lakini, ukipenda, unaweza kubadilisha mipangilio ya kivinjari chako na kudhibiti mipangilio yako ya vidakuzi.

Unaweza kutumia kivinjari chako.

  • kufuta vidakuzi vyote;
  • kuzuia vidakuzi vyote;
  • kuruhusu vidakuzi vyote;
  • kuzuia vidakuzi vya wahusika wengine;
  • kufuta vidakuzi vyote baada ya kivinjari kufungwa;
  • kufungua kipindi cha "kuvinjari kwa faragha"/"incognito" hali ambayo inakuwezesha kuvinjari Intaneti bila kuhifadhi data kwenye kifaa chako;
  • kusakinisha vifaa-nyongeza na programu-jalizi ili kuongeza chaguo za kivinjari.

Wapi naweza kupata taarifa kuhusu kudhibiti vidakuzi?

Taarifa kuhusu vidakuzi kwenye Internet Explorer
Taarifa kuhusu vidakuzi kwenye Chrome
Taarifa kuhusu vidakuzi kwenye Firefox
Taarifa kuhusu vidakuzi kwenye Safari
Taarifa kuhusu vidakuzi kwenye Opera

VIDAKUZI VYA FLASH

Unaweza kuhariri mipangilio ya Flash Player mwenyewe ikiwa hutaji vidakuzi vya flash. Mipangilio ya Flash Player hukuwezesha kudhibiti mpendeleo yako.

Ukichagua kukataa vidakuzi vyote katika kivinjari, tunasikitika hutaweza kutumia baadhi ya vipengele na huduma kwenye tovuti yetu na baadhi ya huduma hazitafanya kazi vizuri, kwa mfano, hatutaweza kuhifadhi lugha uliyochagua ya kiolesura.